
Hello guys, kwangu nimekuwa enterpreneur nimesaidia wase na pia mm sijaachawa nyuma. Nilianzisha kashop ya vyakulatu ambayo inashika pole pole . Ju kwa bizna patience pays. Ukiwa na ugumu wa kuchagua ni bizna gani uanzishe basi nitumietu ; 1. Population composition ya area yako, azin ni vijanaa ama wazee, pili residential population yani wasee wako kibao ama. Alafu ni rural ama tao , pia masharti ya gava na finally financial status ya wasee hiyo area. Hapo nitakuchapia bizna itashika mbaya
0
0
0