
Hello guys, leo nmetake time kubonga na youtha man fulani kuhusu hii biz ya kutengeneza shanga, hii biz a inakaa So oboring buh trust me unaeza make money. Kwa mfano 1.hizi bids unaget na 150 sh zile good quality, it may change in different places buh I don think itakuwa more than 200,hizi strings zinapimwa na sizes kulingana unataka za pesa ngapy, let's give de total of all the items zenye unafaa kuwa nazo ukianza hii biz ikuwe 500Sh-800Sh,hizi bits zinaeza tengeneza shanga ka 1000, that is ukizi mix up de colours na kuna remainder , kwa hizi shanga 1000 moja inatoka 200 ama ikiless sana ni 150 bob, you can calculate de profit yourself na usisahau hii nikuanza so in de next round expenses zitakuwa less.
2.hii job challenges zake Ni customers pekeeuki locate place yenye kuna ma comrade ama ma student obvious wata nunua ama any hiking places .
3.Hii job inataka patience na ukuwe many ideas on how to make your things attractive!

