Hello guys, Mi naitwa dave am a student in Moi University...i have been sponsoring my education by hustle.Nimekua nikiuza kahawa na mandazi na pata fee na pia kitu ya kula na rent pia.Unfortunately last month nilihusika katika ajali barabara nilipokua nikienda hustle yangu kwenye pikipiki. Luckily sikuumia sana lakini mitungi zangu mbili za kahawa ziliharibikia pale.Hivi sasa huu nimwezi wapili sijakua job,sijalipa rent nq pia kupata chakula imekua changamoto sana.Leo hii nimeamua kuomba msaada wa kuirudisha kazi yangu on its toes.If you have and aid you can reach me on 0717051218. hii hapa chini ni picha yangu nikiwa kwenye kazi yangu thanks in advance wana-Mesh
0
0
0