
Hello guys mimi naitwa griffin niko 22yrs na currently mm ni interior designer na sometimes kunakuanga kumekauka na job so nimekua nikipiga savings zangu kiasi coz nilikua nataka nianzishe side hustle ikue ikiniletea an extra cash na niko na 30k so maybe you can help me with business ideas zenye naeza anza na iyo doh
0
0
0