
Hello guys naitwa Ben from Kiambu na niko na issue fulani hapa inanisumbua... I'm married and we have a kid but shinda yenye iko since nipoteze my job everything changed place mpaka bibi huwa anapigiwa simu usiku na kunionyesha madharau hata kuniongeresha ni shinda,naomba any person anaweza kuwa na opportunity ya job aniokolee koz sitaki kupatwa na depression na kuna mtu anaweza niokolea
0
0
0