
Hello guys , nilikopa 10k alafu smartphone yangu ikaharibika nikawa natumia simu ndogo but loan yangu nilijitahidi nikalipa one month earlier ili nikope tena but unfortunately sikupewa mkopo tena . Sai nimepata smartphone itachukua muda gani nikopeshwe tena ? Thanks
0
0
0