Hello guys. Nmekuwa na interest ya kulearn about computer repair bt sijai pata mahali naeza saidika kujenga hii skill. Ebu nipatieni suggestions wadau.