
Hello guys ....wasee wameshindwa kulipa Eneza loan ama wale wameitake for granted ...please kujeni hapa ..tuongee...tuone shida iko wapi? Mimi so far nimechukua Mara tatu...me huchukua ile time nimefinyika n I make sure nimerefund b4 due date ...mbona wengine mkose tu Haya
0
0
0