Hello Hassan hope biz inakupeleka poa. Nitapeana idea inaeza kusaidia kiasi
Ku tag price stuffs za duka hukua ngori but remember ni biz yako so yafaa the step you make gives you profit not a loss . Kuna vitabu A4 96 Pages ni 50 wholesale ni 35 amah 40 120 pages ni 70 wholesale ni 55 amah 60 200 pages ni 100 wholesale ni 85
Drinks pata mtu wa Wholesale akue anakuletea amah coke Mafuta ya kupikia kuna solid na liquid ukiuza liquid ya kupima make site visits to other shops utaona vile wanauza remember usikue juu sana amah chini sana just balance your pricing .
Do record keeping and do more surveys after maybe 2 months sahizi economy inafanya products zinapanda so usipate unauza at a loss . Given that it's a new shop usiuze vitu kwa discount ku attract more customers utajipata na loss so just maintain the price but offer best and fast services hivo ndio unapata more customers and recommendations to others.
Since you get all your products from a wholesale pia unaeza uliza uko vile utauza in smaller quantities it will help you in decision making too . Hope this one will help you
#Pricing challenge



