
Hello Hassan. Hope uko poa. I suggest the first thing unaeza fanya ni RESEARCH. Piga utafiti hapo mtaani wholesale na duka zingine rejareja price ya vitu ziko vipi. Hapa utajua markup yako ni ngapi na uweke fair price for customers. Secondly kama ndio unaanza unaeza practice competitive pricing. Yaani ukishajua bei ya duka zingine, kwako unakata bei kidogo ndio upate nafasi kwa customer base. Kitu ya tatu unaeza tengeneza kibao ama poster yenye umeandika bei ya vitu zako ndio customer apate kujua bei kwa urahisi. Kitu ya nne utatumia social media. Kuna groups kadhaa za traders kwenye mitandao ya kijamii na pale huwa kuna information kuhusu latest market prices. Hope this is the best answer. #5kManifest
0
0
0