
Hello Hassan; Kitu cha kwanza consider mahali penye unaweka hiyo biashara yako,pawe mahali open then karibu na barabara for availability of customers _After umebuy hizo bidhaa zako arrange them according to the type of commodities _Fanya uchunguzi wa bei kwa wanabiashara wengine wenye wako na the same items na zako _After uchunguzi angalia ile bei ulibuy nayo navile wanabiashara wengine venye wanauliza,halafu weka bei yako kulingana na type ya bidha _consider kuweka ka discount kidogo ili ku attract more customers _Lastly be a good customer care to your customers like talking to them and not also forgetting cleanliness
0
0
0