
Hello Hassan , kuna factors mingi za kuconsider ukiset prices za bidhaa zako. Hizi factors zitakusaidia;
1.Cost of products- ukisha buy vitu bei utauzia lazima ishinde hiyo yenye umebuy nayo ndo upate profit.
2.Your business goals- ukitaka kuincrease sales na ku-retain customers unaweka bei ya chini ndo upate profit kidogo kidogo but with more sales per day. Ukitaka kuincrease profit unaongeza bei kiasi.
3.Competitor prices- chunguza prices za competitors wako , kama wako juu yako ongeza prices zako but make sure uko chini yao kiasi hata na 1or 2bob Kama wako chini yako inabidi pia ushukishe bei .
4.Location of your shop- kama uko place hakuna duka ingine na customers ni wengi hapo unaset price juu kiasi, competitor akikuja unapunguza bei.
5.Channel of selling- if you sell directly to consumers hapo bei itakuwa juu kiasi na kama unauzia watu wenye wanaenda kuuza pia inabidi upunguze bei.
6.Bargaining power of your customers- kama customers wako wanapenda kubargain na kupingana bei then weka bei juu kiasi ndo ukipunguza hupati hasara.
7.Quality of your products - kama vitu zako ni high quality , make your customers understand that and set a higher price. Kama ni low quality pia punguza bei .
8.Target market/customers- if your customers are rich and never care about price , weka juu kiasi .But kama ni hustlers inabidi ucheze kihustler.
9.Time ya Special offers, promotions and discounts lazima bei ishuke .
- Always be on a look for a better supplier for your products. Chunguza mashimo cheap ndo pricing isikuwe tatizo.
I wish you best results Hassan.