
hello hawkers..kuna hii business ya maremare ya watu kuzungusha mostly products za plastic for example basins bucket fruit holders jugs
some adi wana exchange na vutu hutumii kwa jyumba then wanakupea one of the things wako nazo hm. what are you able to say kwa hii business in terms of 1.capital 2.risks 3.sales 4.audience
0
0
0