
Hello Hello! Leo Nko garage I've just started my daily hustle na ii ni poa & is all about wiring ya gari na pia si kazi ngumu, what you need most is just akili,...inakukeep ukiwa clean and you can do it wherever you are! Iko pia na challenges coz unaezaconnect wires vibaya ushort but Bora kujiamini and things will flow smoothly❣️ If someone is willing to start all the best 🙏Form ni kuinuana na kujengana...🌞

0
0
0