Hello Here, Am Fred. Am disappointed. How is Pezesha loan working?? I applied last month then nka upload everything they were asking. Hakuna mahali niliruka. Wakasema documents haziko zote. How and everything i was uploading ilikuwa inasema successfully uploaded?? So napata hii sms ati some documents are missing. How nah?? Kuna mtu amepata iyo loan😒?

0
0
0