Hellođź‘‹. Kazi ya kuuza Maziwa especially ushago? Iko aje mtu asha experience. Capital uneza anza na ngapi?