
Hello Kevin kumake dooh pale Facebook inaeza kuwa your main hustle juu kama uko na likes 62k ni alot of people wamekufollow so kitu unaeza fanya ni ukuwe na list ya vitu watu hupendà sana kama football , movies na pia trends za social media.
Be uploading how football teams are buying players ama how they are growing hii itafanya ukuwe na comments mingi na likes juu ni kitu watu wanapenda.
Secondly ni ku upload movies zinakuwa released na trailors za hizo movies hii kitu itakufanya uweze kupata likes mingi juu most people like watching movies.
Thirdly upload how political views and thing going throughout the world hii itakuhitaji ukuwe mtu una anafanya research sana to keep people updated and guess what utapata likes mingi sana na watu watakuwa wana engage na page yako.
Fourthly kuwa unaingia live sections to keep your page active throughout.
Kwa bio ya page yako make sure umeeka your email na number on how people can reach you out juu people like celebrities ama companies wanaeza taka uwafanyie advertisements juu uko na likes mingi na contect yako inareach out kwa watu wengi.
Hizi ni some of my insights nime gather hope zitakusaidia kuearn.
#facebookchallenge