Hello kwa meshers warembo wenye mko janta ama mnarun biz kuna bag ingine hapa moto kama pasi kama umekiwa ukitafuta a minimalist design bag yenye haina mambo mongi ya kubeba notebook, documents ama lunch kwa dish ukienda job ama ya kumeet na maclients nayo yenye watajua you mean biz .Pia ya kuenda kanisa ndio hii .Kama inakubamba ni DM on 0745045393 kuplace order ju hii ndio iko stock pekee na hutaipata tena baada ya leo ni 1000= tu
0
0
0