Hello Lucas Mweu iyo link umeshare ya IEBC inasema hivo. Ukiona kitu eti share to five groups ndo iwe successful ni ukweli kweli?? Meshers sema kitu hapo👇