
Hello majamaa, so mimi ni fundi na hii ujuzi sikufunzwa shule ni kitu nilijifunzia site kama mtu wa mkono na ikaniingia. During covid campo zilifungwa hadi mashule so ilibidi nitafute mbinu ya kupata dooh. Kuna msee aliniambia niende nimsaidie kuunda wardrobes huko kisumu. On my first day nilijaribu sikukaa 3 months in the industry ya fitting and fixing nikajua kazi hadi nikawa huyo msee akawa ananituma naenda kufanya contract nikiwa na watu wa mkono. Ilifika place ikabidi niseme I want to grow big. Nilichapia mentor wangu na akanikubalia. Right now I take contracts of my own na manze hii hustle ndio inanilipia bills.
#powertogrow #selfbelieve ndio form




0
0
0