
Hello Mama mboga ... Mboga imekua expensive of late na economy kiasi inatupiga chenga but here is an option for you most especially kama uko na place unaeza panda mboga eg green na managu..you only need:
🌱.Space ya kupanda - can be ata kwa magunia. 🌱.Water - You can try kueka maji mob which will be enough to cater for three days and so. 🌱.Manure - hasa ya ngombe ama kuku 🌱Weeding once in a while na sunlight enough.
Here are some pics of what has worked for one of us..this itakusaidia coz utakua unauza from ur shamba and cheeaper to maintain




0
0
0