
Hello? Maxwel na hustle yangu na run an online retail shop ya home appliances, electronics na pia bado na double as a freelance real estate agent in kilifi. Biz bado haijashika na challenge kubwa ni kupata market na design ya ku market products niko nazo na services na offer. But bado naendelea kutumia social media accounts zangu ku promote biz.. Hope naeza network na wasee wanafanya the same hustle tu share ideas on how to attract potential clients..na other ideas..




0
0
0