Hello mesh family Mimi naitwa Godwin home ni busia napiga hustle yangu ya welding na Mimi ni new mesher so Niko na swali about hustle yangu ya welding coz me n msee wa jua kali naeza eka hapa products Mimi naunda ili kama naeza angukia customer anipate kwa urahisi ama vipi wasee wangu wa power
0
0
0