Hello mesh. I am new. My name is Derick. Nimekuwa jobless since 2020 after kukuwa retrenched from a dairy farm. Skills niko nazo ni kama dairy processing, kudrive class b vehicle niko na dl, nimefanya bachelor in Human Nutrition pia but sichagui job. Am ready for any work yenye ni available. Kama kuna msee anaweza kunisaidia reach me at 0782267987. Sai niko Mathare north. Thanks
0
0
0