Hello Mesh, laptop yangu imekataa kazi na sina pesa mob za kubuy a new laptop saa hii. Naweza pata mahali laptop ya kulipa mdogo mdogo?