Hello #Mesh members haki nikona shida moja inayotuhusu sisi mayouth kama kwa mfano.Unafungua kashop kidogo unatafutwa mti akushikilie unamuuliza atadai salo ngapi anaiitisha doo kama 20K per month io ni ungwana kweli?.
0