
Hello Mesh, Ni Fredrick Ngala hapa. Kwanza, mimi ni mwana Biashara na me u run bizz ya Hoteli na pika vyakula zote as my Photos indicate.
Hili uanzishe Bizz ya #StreetFoodBiz Muhimu ata hivyo ni kujua nini Huenda sana area yako or pia, nini wasee hawaprovide sana juu Sababu personals.
Kama ni Mimi ningeanza bizz ya Street foods, ningeanza kutengezea Customer Kitu kama Maandazi na Kahawa.
Hii bizz naeza fanya morning hours na jioni. Area ni place kuna kaflow ka watu. Hili ishike na nipate return, maandazi nitasaka Duka Kadha nisupply mandunya at 50bob per packet. Pia, nitatembeza kwa base ya Boda na stages nikiwa na kahawa yangu na escort (Maandazi)
Pia nitalearn kumanage doo plus debt to avoid financial crisis kukuwa kumekaza. Take risk or risk not being the person you were created to be. #StreetFoodBiz
