Hello Mesh,uku kwa mtaa natokea mayouth wanause drugs sana,hii kitu inaniudhi sana,but nimechunguza ni lack of jobs tena maparo wamewachilia watoi wao free vibaya .Sijui how can I help my fellow youth's na community, nimefikiria kuheld awareness against drugs
0
0
0