
Hello Mesher? Ni Fred Hapa. Kwanza kabisa nitaambia Samson Kongole sana kwa kujitosa kwa biz specifically ya Popcorns. Kama mboka zingine, Biz iko hukuwa na challenge zake. Lakini ki kubwa ni bidii na mboka itajipa. Sasa hili haweze scale his biz, idea yangu ni hii; 1; track doo fiti Hili msee amanage ku scale in biz, lazima hujue kutrack doo unapata kwa biz on daily basis. This helps kureduce unnecessary expenditure. Have a good book recorder kama lager book, itahelp.
2: Savings Baada ya kutrack doo unget from sales daily, business guru wanasema faida sio hasara ina maana gani, hicho kidogo au kikubwa unapata chukua, ya kesho itakuwa bora. Thereafter, fanya hesabu zako alafu, ona ngapi utasave kwa minajili ya kuexpand biz yako. Inapaswa kujitegemea.
3: Location All said and done, a good business location itaisidia biz kuscale up ama iporomoke ni mambo yanayokumba wanabiashara. Hivyo ensure biz popcorn kama Samson iko area targeted clients tuseme watoto wengi wako ama buzzy roads yenye wapita njia ni most.
4: Loans Usiogope kuchukua loans kuscale up Biz. Loans uchangia pakubwa kwa biashara kuimarika. Bora Samson na popcorn biz inauwezo wa kulipa, jaribu hiyo sector pia.
5: Good Customer Relation Kuwa na Good Customer Relation imeinua Biashara mingi. Samson anapaswa kujua satisfied client will always bring another customer.
5: Be True and Real Be true and real to clients. Biashara inaitaji nidhamu ya juu, usijiumize kufurausha mteja na pia usifinye mteja kwa tamaa ya peni mbili. Brand sales.