Hello Meshers .. is it ok ukiambia tu customer kwamba labour yangu ni hii amount? Ama unakosea. Ju kuna Customer nmemfanyia kazi; resources ni 1500/-. Service fee ni 500. Then anataka kulipa tu 1500/- Only. Is it ok kumwambia?
0