
Hello Meshers!!!
5/10: THE PSYCHOLOGY OF MONEY
After kufunzwa na kuelewa vile network marketing industry inaoperate, nilianza kuearn pole pole. Before pesa inichizishe zaidi tulifunzwa category ingine ya how money works.
Nilikuwa najifanya mjuaji wa pesa plus I was so arrogant ati siwezi jifunza hii maneno. Ole wangu!!!
But the moment I learnt the relationship with money nililearn Kuna vitu mingi watu hawajui hapa nje kuhusu dooh. Leo ntawapea summary brief ya hii book coz it's very educative and I still read it todate.
The Psychology of Money introduces the concept that the most valuable asset you have is not money but time.⌚ The book explores the role of human behavior in personal finance, offering insights on how to make smarter financial decisions and build wealth. The author anatufunza that every financial decision should be viewed through the lens of time. Bila kusahau investing, saving, and spending should all be done with an understanding of how they impact your future self.
Usikue ule msee wa "I know everything" mentality.
Ukitaka pdf ya hii kitabu its FREE na ukidai kukuwa kwa mentorship programme it's FREE, WhatsApp me on 0742550444
#tujijenge💪
