Hello meshers,, first of all wishing you all the best Kila mtu kwa hustle yake,, nauliza anyone mwenye Ako kwa online cab biz(Uber,bolt, little and others)as a partner driver (as in gari si yako) currently biashara iko aje? Partners wanadai kuwekewa how much daily?as in how is this business doing of late,, thanks
0
0
0