
Hello MESHERS, For Sally's snacks business.. To grow ni lazima azingatie yafuatayo to over come the negative challenges in the business..Ajue soko lake halisi apo mtaani anapo uzia kufikia sasa. Walengwa wa biashara yake ni kina nani? Na nini wanapenda sana? Pia ahakikishe bidhaa wanazo penda anaweza afford to purchase? Na zitarudisha Mali na faidha?..sasa kulingana na mimi,soko lake ni huru sana juu linashirikisha watu wa aina yote kwa hivyo Sally anafaa kuongeza bidhaa kadhaa kwenye biashara yake like; *Njugu karanga,za chumvi na fresh goes well with kahawa. *Kahawa yake ni vizuri akiwa na Chungu na tamu juu watu wapenda tofauti ya kahawa. *Anaweza kuongeza maziwa na yoghurt ,kwa ajili ya kitulizo cha joto kwa wateja. *Pia anaweza kuongezea sambuza, ima za nyama ama za polo,kunde au ata mbaazi. *Mayai boil and roasting eggs can boost her business juu its among the first moving food stuffs. *Can do kachumbari and pilipili for the better services for mayai and sambusa and samosa. *Half cakes and other food pastry cna do better for Sally's business apo Dandora.