
Hello Meshers.
From my previous post, hii ndo biz nadai kuiuza, ni small pub iko kasarani mwiki. Iko na counter na another room ya kutulia for customers.
Unaeza reach out kwa 0711268164 ili uicheki na tueze kubonga bei.
Happy mashujaa 🇰🇪




0
0
0