
Hello Meshers, hapa ni Fredrick Ngala. I' m business person, running hotel within Nakuru town for now 1 year. Despite mwaka kuwa na zake (haikosi) Naweza sema business imeweza kunipush positively as a persons especially in my communication skills. Also ka profit😍.
Now, for more to come, hard decision has to be made. As a results, here are my 2024 Biz Resolution; 1: Minimise Food on Credit Mazee kwa hii biz yetu mtu kukutoka ni common. Unapata unasupply food kwa garage example, wasee watatu umeserve, two wamekulipa, mmoja amekurusha. Hii yake itamfanya aogope kula kwako incase ashindwe kulipa. Effect ni tumepoteza mteja. So mimi naona, nikifocus kuuza cash, nitaminimise credit and intern, increase daily return.
2; Market I'm determined to market my business even furher across all available platform. Hii itaongeza customer kadhaa.