
Hello 👋 meshers ....,Hassan anafaa kuchukua dairy book yake na atembee maduka zote zenye ziko around area of his business location, duka ambazo zinauza stuff kama zake akiulizia bei ya hizo stuff huku akinote secretly .Then alienda qwa duka yake acompee hizo prices mwenye ako chini apunguze
0
0
0