
Hello MESHERS, hope biz ziko sawa. Nadai pick up second hand or else used pick up niazishe biz ya transport ya kuhamisha wasee, kuchota maji na pia kuendea vitunguu na cabbage kwa shamba nauza kwa masoko. Any leads nita appreciate sana. Nataka ya 300k.
0
0
0