Hello Meshers hope mko poa kwa warembo kama unapenda Jute Handbag yenye Iko na Kente African print na unataka ya kwenda nayo church ama unataka kugift mtu or wewe ni mchapa biz na unataka bag yenye ukimeet na client anakuheshimu na ukimbongesha anakuskiza Ni DM on 0745045393 tuchape biz
0
0
0