
Hello meshers, hope mko poa, Mimi and my other few friends tumekuwa na chama yenye tumesave upto 42,000 sasa. Nataka ushauri wenu kuhusu business fiti tunaweza anzisha na hii pesa. We are a group of 13 members saving on a weekly basis. Group yetu inaitwa vision partnership and is 9months old sasa.
Tunataka business yenye every member will benefit equally.
Thank you, Regards Mwenge Alfred.
0
0
0