
Hello meshers , i have a question about hizi ice popsicles. Hizi ice huwa zinauzwa 10bob or 5 bob kwa estate za vijiti ,, zinatengenezwa aje?.. Kuna mtu ako na recipe na procedure with the right measurements anaeza nisave nayo ama ata ni kubuy juu i would like to know how they're made ...
Kuna zingine huonja yu juice or juice cola but i need the real ones ...
Na pia where i can source those ingredients juu kuna zingine sijui naeza get wapi ...
Anyone who knows please help i want to start that biz kindly
0
0
0