
Hello Meshers. I have this question that's been going through my mind for a while. Kama niko na biz more than moja, for instance kama mimi hushuka na pia huuza plants, do I use the same name all through na same logo ama naeza tumia different names na different logos. What do you think is the best in this scenario? Juu pia staki kuconfuse clients wangu.
0
0
0