
Hello meshers! I remember time fulani nikiwa first year campus, I met with my uncle nikamshow nimesota anitumie punch. Akasema leo Hana hio pesa but atanibuy kitabu ya finance. Ofcoarse, sikufurahia coz siwezi kula kitabu na ninainama ajab daily.💔👎
After a week akabuy book and I started reading it immediately coz nilikuwa pushed na vitu mingi(ntawapea hio story soon) so nikaanza kusoma. After reading first chapter, nikakuwa demotivated 👎🤔
My questions were, how can I work so hard for someone and he fails to pay me, kwani mimi ni punda? Siwezi fanya kazi ya bure.🤣🙄(kiburi) In two weeks, siku soma hio kitabu because niligrow up nikijua money is attained by exchange of time and effort. Ukifanya mtu kazi unalipwa baada ya kazi💯 Mindset ilikuwa closed ajab!
Fast forward, (ntawapea turn over story soon)👍 If you want to know why wealthy people are wealthy and why poor people are poor, and the difference between wealthy and rich start by understanding small basics. Weka kiburi chini, ignorance chini and be open to learn 😉😉
1/10. RICH DAD POOR DAD
Anza na kusoma hii kitabu,📕 jenga mindset, Anza kuelewa biashara kama pro. Kama umesoma before, we can discuss vitu tuliewa in different minds.
For the pdf version, I'm open for DM it's free. 😉
#tujijenge 💪
