
hello meshers...if you are active in business tiktok i know umepitia many videos zimekua trending about how watu wameoshwa haswa na watu wanadai wako na furniture online store after ulipe deposit then after unapata ni scam...
whats your say about it and how do you avoid such coz no hasara kubwa sana aki and very disappointing.
0
0
0