
Hello meshers...it's been a long while hope muko fiti tu saana. Concern yangu ni hivi kunawatu hupost product zao huku then unaeza kuwa intrested kuwapromote bt wao once wamepost hupotea hivo. Once I need a backpack from one of our member madam who posted bt mbaka Leo cjawahi ona akireply request yangu the Kuna msee nilitaka viatu toka kwake .So pliz tukishapost kitu tuwe na tabia ya kufatilia hata comments za wasee tu inaeza tusave .
0
0
0