
Hello Meshers kama youth myoung mwenye sources za madoo huwa ngori, hukuwa cautious sana na dooh hufanikiwa kupata.
Kila mwezi nikipata mshahara huidivide kulingana na mahitaji na pia do nifanikiwe kusave. Huzipanga doo zangu hivi:
- Huwa na save 40%
- 20% for projects
- 40% Bills and upkeep.
Pia katikati ya mwezi huwa nafanikiwa nafanya several gigs za influencing hunisaidia kucater for miscellaneous na upkeep kiasi na zakujispoil! #MESHFinFit
0
0
0