
Hello Meshers Kuna time nilifikiria nianzishe ka side hustle yangu atleast nipate pesa za upkeep,,si mnajua vile izi pesa za end month huwa zinatake time ndo upate, Nilipiga hesabu za ku invest kwa mshahara yenye na get ndo atleast nikue nakula profit, ndo ni sustain my daily basics kama Fare ya kuenda job,
Biz ilikuwa ya kuuza samaki fry,,business plan nikaichora tekee,,mara io io nikapata msee wa ku operate io biz ,,nikamtengenezea kila kitu ndo biz ianze ku run as fast as possible. Challenges zilikuwa mob sanaa sanaa expecially kwa io part ya kuanza kuuza Like kutafuta place ya kuuzia,Mameeen!! Si unajua vile mtu akiwa new kwa kitu fulani apa nairobi enyewee lazima ukapitie
Maconmen nilikutana nao ata wale wa pata potea wako atleast,,kila place ilikua occupied ata kama ilikua empty, Imagine sikuizi kuuzia tu kwa barabara connections lazima ikuwe ama ulipie rent joh! so biz yangu ilianza kuwa na upside,,downs juu expenses ilikuwa mob sanaa ikafanya nifunge io job, Enyewee kuanzisha biz haikuangi ivo rahisi vile nyi uona,
The things that had learnt from my mistake,Before starting your own business ♡ Fanya Research vile inafaa ♡ kuwa familiar na biz yenyewe ♡ Make sure ukona pesa ya kutosha,,pesa ya kuanzisha biz na pesa zingine za ku maitnain ndo biz isicolapse, ♡ Deal na watu legit ,,ukirent shop mahali lazima akupee reciept ya payment ♡ Andika msee trusted na mwenye ako willing kukufanyia job