Hello Meshers, Kunaa ii biz ya kuuza ladyz shoes and pants, nimekua nikiifikiria sana. Kuna msee kwa ii field anaeza nichanua the DOs and Dont DOs. Alafu kama ni quality stock, nitazipata wapi.