Hello Meshers, Leo tumewaletea hizi table top fruit baskets. Ziko na a wide range of uses na pia sizes na style ni different. Leta hii green aesthetics🍀 kwa nyumba yako.