Hello Meshers## Mi naitwa Giddy. Nafanya job marikiti (Wakulima) market. Kama uko na stuff unannuonrce huku unaeza link na mimi. Currently tunauza fix oranges na Maembe. So kuna huyu mzae nlimfanyia job ya kusource maembe kwa shamba akafueahishwa na services zangu akanijenga job ya kusupply hass avocados export. Shinda ni sina capital. Kama uko na capital na huna idea ama unatamani job ka hii link na mimi ama ka unatamani kucanya job marikiti na huna idea venye utaanza ##0714212010
0
0
0