
Hello Meshers, mi ni financial advisor from CIC Insurance kwa life assurance department. Apa tunadeal na life savings including : academic, savings, investment na last expense. Mi ningependa kuelimisha mayouth wengi about kukua na insurance policy ju nmeona wengi hawajui about it na wengne wako na uoga na kuinvest na insurance from what they've heard from others. Well mi nko apa kukushow ni vipi unaeza fungua account yako kwa CIC Insurance na ve utasave na upate doh yako policy ikimature. If interested, nichapie nkujibu maswali yote utakua nayo through my number 0701121703/0755394557 Jina ni David
0
0
0